Leviticus 13:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ya saba kuhani atamwangalia. Kama umeenea kwenye ngozi, basi, kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa najisi; kwani anao ugonjwa wa ukoma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ya saba kuhani atamchunguza tena, na kama unaenea kwenye ngozi, kuhani atamtangaza kuwa najisi; ni ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kuhani atamwangalia siku ya saba; kama kimeenea katika ngozi, ndipo huyo kuhani atasema kwamba yu najisi; hili ni pigo la ukoma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ya saba kuhani atamwangalia. Kama umeenea kwenye ngozi, basi, kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa najisi; kwani anao ugonjwa wa ukoma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ya saba kuhani atamchunguza tena na kama unaenea kwenye ngozi, kuhani atamtangaza kuwa najisi; ni ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ya saba kuhani atamchunguza tena, na kama unaenea kwenye ngozi, kuhani atamtangaza kuwa najisi; ni ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kuhani atamwangalia siku ya saba; kama kimeenea katika ngozi, ndipo huyo kuhani atasema kuwa ni najisi; hili ni pigo la ukoma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ya saba kuhani atamwangalia. Kama umeenea kwenye ngozi, basi, kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa najisi; kwani anao ugonjwa wa ukoma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtambikaji atakapomwona siku ya saba, ya kuwa mahali hapo pameendelea katika ngozi, mtambikaji hana budi kusema, ya kuwa ni mwenye uchafu, kwani ndio ugonjwa wa ukoma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kuhani atamwangalia siku ya saba; kama kimeenea katika ngozi, ndipo huyo kuhani atasema kwamba yu najisi; hili ni pigo la ukoma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ya saba kuhani atamwangalia. Kama umeenea kwenye ngozi, basi, kuhani atamutangaza mutu yule kuwa muchafu, maana ana ugonjwa wa ukoma.