Leviticus 13:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama mtu yeyote mwanamume au mwanamke, ana kidonda kichwani au kidevuni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ikiwa mwanaume au mwanamke ana kidonda juu ya kichwa au juu ya kidevu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena mtu, mume au mke, akiwa na pigo juu ya kichwa, au katika ndevu zake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama mtu yeyote mwanamume au mwanamke, ana kidonda kichwani au kidevuni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ikiwa mwanaume au mwanamke ana kidonda juu ya kichwa au juu ya kidevu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ikiwa mwanaume au mwanamke ana kidonda juu ya kichwa au juu ya kidevu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanamume au mwanamke atakapopatwa na maradhi kichwani au kidevuni,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama mtu yeyote mwanamume au mwanamke, ana kidonda kichwani au kidevuni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena mtu mume au mke akitoka upele kichwani au kidevuni,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena mtu, mume au mke, akiwa na pigo juu ya kichwa, au katika ndevu zake,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mutu yeyote mwanaume au mwanamuke, ana kidonda juu ya kichwa au kwenye kidevu,