Leviticus 13:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama kuhani ataona kuwa hakuna shimo na nywele si nyeusi, basi kuhani atamtenga mtu huyo kwa muda wa siku saba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kama kuhani akichunguza aina hii ya kidonda, kionekane kuwa hakijaingia ndani ya ngozi, na hakuna nywele nyeusi juu yake, basi atamtenga mtu huyo kwa siku saba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena kuhani akiliangalia lile pigo la kipwepwe, na tazama, kwamba kumeonekana si kuingia ndani kuliko ngozi yenyewe, wala hamna nywele nyeusi ndani yake, ndipo kuhani atamweka mahali huyo aliye na pigo la kipwepwe muda wa siku saba;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama kuhani ataona kuwa hakuna shimo na nywele si nyeusi, basi kuhani atamtenga mtu huyo kwa muda wa siku saba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama kuhani akichunguza aina hii ya kidonda, kikionekana kuwa hakina shimo na hakuna nywele nyeusi juu yake, ndipo atakapomtenga mtu huyo kwa siku saba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama kuhani akichunguza aina hii ya kidonda, kionekane kuwa hakina shimo na hakuna nywele nyeusi juu yake, basi atamtenga mtu huyo kwa siku saba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kuhani akiliangalia lile pigo la kipwepwe, ikiwa kumeonekana si kuingia ndani kuliko ngozi yenyewe, wala hamna nywele nyeusi ndani yake, ndipo kuhani atamweka mahali huyo aliye na pigo la kipwepwe muda wa siku saba;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama kuhani ataona kuwa hakuna shimo na nywele si nyeusi, basi kuhani atamtenga mtu huyo kwa muda wa siku saba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mtambikaji akiutazama ugonjwa huo wa upele mbaya na kuona, ya kama hapaonekani kuwa panabonyea katika ngozi, tena ya kama hapana nywele zilizo nyekundu kidogo, mtambikaji na amfungie siku saba huyo mwenye ugonjwa wa upele mbaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena kuhani akiliangalia lile pigo la kipwepwe, na tazama, kwamba kumeonekana si kuingia ndani kuliko ngozi yenyewe, wala hamna nywele nyeusi ndani yake, ndipo kuhani atamweka mahali huyo aliye na pigo la kipwepwe muda wa siku saba;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama kuhani ataona kwamba hakuna shimo na nywele si nyeusi, basi kuhani atamutenga mutu yule kwa muda wa siku saba.