Leviticus 13:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ya saba kuhani atakiangalia kile kidonda. Kama kidonda hicho hakijaenea na hakuna nywele zenye rangi ya manjano wala hakuna vipele vyovyote mahali hapo, basi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ya saba kuhani atachunguza kidonda kile, na kama hakijaenea, na hakuna nywele za manjano juu yake, wala haukuingia ndani ya ngozi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na siku ya saba kuhani ataliangalia hilo pigo; na ikiwa hicho kipwepwe hakikuenea, wala hamna nywele za rangi ya manjano ndani yake, na kwamba kipwepwe hakionekani kuingia ndani kuliko ngozi yenyewe,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ya saba kuhani atakiangalia kile kidonda. Kama kidonda hicho hakijaenea na hakuna nywele zenye rangi ya manjano wala hakuna vipele vyovyote mahali hapo, basi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ya saba kuhani atachunguza kidonda kile, kama upele haujaenea na hakuna nywele za manjano juu yake wala hakuna shimo lo lote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ya saba kuhani atachunguza kidonda kile, na kama upele haujaenea, na hakuna nywele za manjano juu yake, wala hakuna shimo lolote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na siku ya saba kuhani ataliangalia hilo pigo; na ikiwa hicho kipwepwe hakikuenea, wala hamna nywele za rangi ya manjano ndani yake, na kwamba kipwepwe hakionekani kuingia ndani kuliko ngozi yenyewe,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ya saba kuhani atakiangalia kile kidonda. Kama kidonda hicho hakijaenea na hakuna nywele zenye rangi ya manjano wala hakuna vipele vyovyote mahali hapo, basi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtambikaji atakapomtazama huyu mgonjwa siku ya saba na kuona, ya kama huo upele mbaya haukuendelea, wala hapana nywele zilizo nyekundu kidogo, wala upele huo mbaya hauonekani kuwa unabonyea katika ngozi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na siku ya saba kuhani ataliangalia hilo pigo; na ikiwa hicho kipwepwe hakikuenea, wala hamna nywele za rangi ya manjano ndani yake, na kwamba kipwepwe hakionekani kuingia ndani kuliko ngozi yenyewe,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ya saba kuhani ataangalia kile kidonda. Kama kidonda hicho hakijaenea na hakuna nywele zenye rangi ya manjano wala hakuna vipele vyovyote pahali pale, basi,