Leviticus 13:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mtu huyo atanyoa nywele au ndevu zake. Lakini mahali pale penye vipele hatapanyoa. Kisha kuhani atamtenga mtu huyo kwa muda mwingine wa siku saba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mtu huyo ni lazima anyolewe, isipokuwa mahali palipo na ugonjwa, naye kuhani atamtenga kwa siku nyingine saba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo huyo mtu atanyolewa, lakini hicho kipwepwe hatakinyoa; na kuhani atamweka mahali huyo aliye na kipwepwe muda wa siku saba tena;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mtu huyo atanyoa nywele au ndevu zake. Lakini mahali pale penye vipele hatapanyoa. Kisha kuhani atamtenga mtu huyo kwa muda mwingine wa siku saba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mtu huyo ni lazima atanyolewa isipokuwa mahali palipo na ugonjwa, naye kuhani atamtenga kwa siku nyingine saba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mtu huyo ni lazima anyolewe, isipokuwa mahali palipo na ugonjwa, naye kuhani atamtenga kwa siku nyingine saba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo huyo mtu atanyolewa, lakini hicho kipwepwe hatakinyoa; na kuhani atamweka mahali huyo aliye na kipwepwe muda wa siku saba tena;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mtu huyo atanyoa nywele au ndevu zake. Lakini mahali pale penye vipele hatapanyoa. Kisha kuhani atamtenga mtu huyo kwa muda mwingine wa siku saba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na ajinyoe nywele, lakini hapo penye upele mbaya asipanyoe; kisha mtambikaji na amfungie huyu mwenye upele mbaya mara ya pili siku saba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo huyo mtu atanyolewa, lakini hicho kipwepwe hatakinyoa; na kuhani atamweka mahali huyo aliye na kipwepwe muda wa siku saba tena;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mutu yule atanyoa nywele au ndevu zake. Lakini pahali pale penye vipele hatapanyoa. Kisha kuhani atamutenga mutu yule kwa muda mwingine wa siku saba.