Leviticus 13:35 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini iwapo vipele hivyo vimeenea baada ya kutakaswa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ikiwa kidonda kitaenea katika ngozi baada ya kutangazwa kuwa safi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hicho kipwepwe kama kikienea katika ngozi yake baada ya kutakasika kwake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini iwapo vipele hivyo vimeenea baada ya kutakaswa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ikiwa upele utaenea juu ya ngozi baada ya kutangazwa kuwa safi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ikiwa upele utaenea juu ya ngozi baada ya kutangazwa kuwa safi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hicho kipwepwe kama kikienea katika ngozi yake baada ya kutakasika kwake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini iwapo vipele hivyo vimeenea baada ya kutakaswa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini upele mbaya ukiendelea katika ngozi, mtambikaji alipokwisha kusema, ya kama ametakata,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hicho kipwepwe kama kikienea katika ngozi yake baada ya kutakasika kwake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ikiwa vipele hivyo vimeenea kisha kutakaswa,