Leviticus 13:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama mtu yeyote, awe mwanamume au mwanamke, ana alama nyeupe mwilini mwake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ikiwa mwanaume au mwanamke ana alama nyeupe juu ya ngozi yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu, mume au mke, atakapokuwa na vipaku ving'aavyo katika ngozi ya mwili, vipaku ving'aavyo vyeupe;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama mtu yeyote, awe mwanamume au mwanamke, ana alama nyeupe mwilini mwake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ikiwa mwanaume au mwanamke ana alama nyeupe juu ya ngozi yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ikiwa mwanaume au mwanamke ana alama nyeupe juu ya ngozi yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanamume au mwanamke, atakapokuwa na vipaku ving'aavyo katika ngozi ya mwili, vipaku ving'aavyo vyeupe;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama mtu yeyote, awe mwanamume au mwanamke, ana alama nyeupe mwilini mwake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu mume au mke akiwa mwenye mabalanga penye ngozi ya mwili wake, hayo mabalanga yakiwa meupe,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu, mume au mke, atakapokuwa na vipaku ving’aavyo katika ngozi ya mwili, vipaku ving’aavyo vyeupe;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mutu yeyote, akuwe mwanaume au mwanamuke, ana alama nyeupe juu ya mwili wake,