Leviticus 13:39 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kuhani atamwangalia mtu huyo. Iwapo kuhani ataona kuwa alama hizo ni nyeupe kiasi, huo ni upele wa kawaida; mtu huyo ni safi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kuhani atamchunguza, na kama alama hizo zina weupe uliofifia, ni vipele visivyo na madhara vilivyojitokeza kwenye ngozi; mtu huyo ni safi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo kuhani ataangalia; na tazama, ikiwa vile vipaku ving'aavyo vilivyo katika ngozi ya mwili wake ni vyeupe kidogo; ni mba hivyo, imetokea katika ngozi; yeye yu safi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kuhani atamwangalia mtu huyo. Iwapo kuhani ataona kuwa alama hizo ni nyeupe kiasi, huo ni upele wa kawaida; mtu huyo ni safi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kuhani atawachunguza, kama alama hizo zina weupe uliofifia, ni vipele visivyo na madhara vilivyojitokeza kwenye ngozi; mtu huyo ni safi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kuhani atamchunguza, na kama alama hizo zina weupe uliofifia, ni vipele visivyo na madhara vilivyojitokeza kwenye ngozi; mtu huyo ni safi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo kuhani ataangalia; ikiwa vile vipaku ving'aavyo vilivyo katika ngozi ya mwili wake ni vyeupe kidogo; ni mba iliyotokeza katika ngozi; yeye ni safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kuhani atamwangalia mtu huyo. Iwapo kuhani ataona kuwa alama hizo ni nyeupe kiasi, huo ni upele wa kawaida; mtu huyo ni safi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
naye mtambikaji akimtazama na kuona, ya kama penye ngozi ya mwili wake yako mabalanga meupe yaliyoanza kufifia, ndio mba zilizotoka katika ngozi, naye mwenyewe ni mwenye kutakata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo kuhani ataangalia; na tazama, ikiwa vile vipaku ving’aavyo vilivyo katika ngozi ya mwili wake ni vyeupe kidogo; ni mba hivyo, imetokea katika ngozi; yeye yu safi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kuhani atamwangalia mutu yule. Ikiwa kuhani ataona kwamba alama hizo ni nyeupe kidogo, huo ni upele wa kawaida, mutu yule ni safi.