Leviticus 13:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama mwanamume amepata upara, yeye ni safi kwani ana upara tu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wakati mwanaume hana nywele naye ana upara, yeye ni safi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwamba nywele za mtu zimemtoka kichwani mwake, yeye ni mwenye upaa, yu safi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama mwanamume amepata upara, yeye ni safi kwani ana upara tu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wakati mwanaume hana nywele naye ana upaa, yeye ni safi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wakati mwanaume hana nywele naye ana upaa, yeye ni safi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwamba nywele za mtu zimemtoka kichwani mwake, yeye ni mwenye upara, ni safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama mwanamume amepata upara, yeye ni safi kwani ana upara tu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama nywele za mtu zimeng'oka kichwani pake, ni mwenye kipara cha kisogoni, ni mwenye kutakata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwamba nywele za mtu zimemtoka kichwani mwake, yeye ni mwenye upaa, yu safi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mwanaume amepata upaa, yeye ni safi maana ana upaa tu.