Leviticus 13:41 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Iwapo upara huo umetanda tangu nyuma mpaka mbele mtu huyo ana upara tu na yu safi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa hana nywele kwenye ngozi ya kichwa chake, na ana upara kwenye paji, ni safi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena kwamba nywele za mtu zimemtoka kichwani upande wa mbele, yeye ni mwenye upaa wa kipaji; yu safi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Iwapo upara huo umetanda tangu nyuma mpaka mbele mtu huyo ana upara tu na yu safi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa hana nywele kwenye ngozi ya kichwa chake na ana upaa tangu kwenye paji, ni safi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa hana nywele kwenye ngozi ya kichwa chake, na ana upaa tangu kwenye paji, ni safi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kwamba nywele za mtu zimemtoka kichwani upande wa mbele, yeye ni mwenye upara wa kipaji; ni safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Iwapo upara huo umetanda tangu nyuma mpaka mbele mtu huyo ana upara tu na yu safi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama nywele za upande wa usoni zimeng'oka kichwani pake, ni mwenye kipara cha paji la usoni, naye ni mwenye kutakata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena kwamba nywele za mtu zimemtoka kichwani upande wa mbele, yeye ni mwenye upaa wa kipaji; yu safi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa upaa huo umetanda tangu nyuma mpaka mbele mutu yule ana upaa tu na yuko safi.