Leviticus 13:44 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, mtu huyo ana ukoma; yeye ni najisi. Kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa najisi. Ugonjwa wake upo kwenye kichwa chake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mtu huyo ni mgonjwa, na ni najisi. Kuhani atamtangaza kuwa najisi kwa sababu ya kidonda kwenye kichwa chake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
yeye ni mtu mwenye ukoma, yu najisi; na kuhani hana budi atasema kuwa yu najisi; pigo lake li katika kichwa chake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, mtu huyo ana ukoma; yeye ni najisi. Kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa najisi. Ugonjwa wake upo kwenye kichwa chake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mtu huyo ni mgonjwa naye ni najisi. Kuhani atamtangaza kuwa najisi kwa sababu ya kidonda kwenye kichwa chake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mtu huyo ni mgonjwa, na ni najisi. Kuhani atamtangaza kuwa najisi kwa sababu ya kidonda kwenye kichwa chake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
yeye ni mtu mwenye ukoma, ni najisi; na kuhani hana budi atasema kuwa ni najisi; pigo lake liko katika kichwa chake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, mtu huyo ana ukoma; yeye ni najisi. Kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa najisi. Ugonjwa wake upo kwenye kichwa chake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, ni mtu mwenye ukoma, naye ni mwenye uchafu, naye mtambikaji hana budi kusema, ya kama ni mwenye uchafu kweli, nao huo ugonjwa wake mbaya uko kichwani pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
yeye ni mtu mwenye ukoma, yu najisi; na kuhani hana budi atasema kuwa yu najisi; pigo lake li katika kichwa chake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, mutu yule ana ukoma, yeye ni muchafu. Kuhani atamutangaza mutu huyo kuwa muchafu. Ugonjwa wake uko kwenye kichwa chake.