Leviticus 13:46 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ataendelea kuwa najisi kwa muda wote alio na ugonjwa huo. Yeye ni najisi; naye atakaa peke yake nje ya kambi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa muda wote atakaokuwa na ugonjwa huo wa kuambukiza atabaki kuwa najisi. Ni lazima aishi peke yake; ni lazima aishi nje ya kambi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku zote ambazo pigo li ndani yake, yeye atakuwa mwenye unajisi; yeye yu najisi; atakaa peke yake; makazi yake yatakuwa nje ya marago.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ataendelea kuwa najisi kwa muda wote alio na ugonjwa huo. Yeye ni najisi; naye atakaa peke yake nje ya kambi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa muda wote atakaokuwa na ugonjwa huo wa kuambukiza atabaki kuwa najisi. Ni lazima aishi peke yake; ni lazima aishi nje ya kambi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa muda wote atakaokuwa na ugonjwa huo wa kuambukiza atabaki kuwa najisi. Ni lazima aishi peke yake; ni lazima aishi nje ya kambi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa siku zote ambazo pigo litakuwa ndani yake atakuwa najisi, ataishi kwa upweke katika makazi yake, nje ya kambi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ataendelea kuwa najisi kwa muda wote alio na ugonjwa huo. Yeye ni najisi; naye atakaa peke yake nje ya kambi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zote, atakazokuwa na ugonjwa huu mbaya atakuwa mwenye uchafu wa kweli, sharti akae peke yake, nalo kao lake sharti liwe nje ya makambi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku zote ambazo pigo li ndani yake, yeye atakuwa mwenye unajisi; yeye yu najisi; atakaa peke yake; makazi yake yatakuwa nje ya marago.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ataendelea kuwa muchafu kwa muda wote anaokuwa na ugonjwa ule. Yeye ni muchafu, naye atakaa peke yake inje ya kambi.