Leviticus 13:47 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama kuna namna ya upele wa ukoma kwenye vazi, liwe la sufu au kitani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kuhusu vazi lolote lililoharibiwa na maambukizo ya ukoma, liwe ni vazi la sufu au kitani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena, vazi nalo ambalo pigo la ukoma li ndani yake, kwamba ni vazi la sufu, au kwamba ni la kitani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama kuna namna ya upele wa ukoma kwenye vazi, liwe la sufu au kitani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama vazi lo lote lina maambukizo ya upele: likiwa ni vazi la sufu au kitani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama vazi lolote lina maambukizo ya upele: likiwa ni vazi la sufu au kitani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuhusu mavazi; vazi ambalo pigo la ukoma limo ndani yake, liwe ni vazi la sufu au la katani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama kuna namna ya upele wa ukoma kwenye vazi, liwe la sufu au kitani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena uko ukoma wa mavazi: vazi kama ni la nywele za kondoo au la pamba, linaweza kupatwa na ugonjwa huu mbaya wa ukoma;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, vazi nalo ambalo pigo la ukoma li ndani yake, kwamba ni vazi la sufu, au kwamba ni la kitani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama kuna namna ya taka la ukoma kwenye nguo, ikuwe ya sufu au kitani,