Leviticus 13:48 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
vazi hilo liwe limefumwa au limesokotwa kwa kitani au sufu au ni vazi la ngozi ya aina yoyote ile,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
vazi lolote lililofumwa au kusokotwa la kitani au sufu, ngozi yoyote au chochote kilichotengenezwa kwa ngozi:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
likiwa limefumwa, au kusokotwa; likiwa ni la kitani au la sufu; kwamba ni katika ngozi, au kitu cho chote kilichofanywa cha ngozi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
vazi hilo liwe limefumwa au limesokotwa kwa kitani au sufu au ni vazi la ngozi ya aina yoyote ile,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lo lote lililofumwa au kusokotwa likiwa la kitani au la sufu, ngozi yo yote au cho chote kilichotengenezwa kwa ngozi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lolote lililofumwa au kusokotwa likiwa la kitani au la sufu, ngozi yoyote au chochote kilichotengenezwa kwa ngozi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
likiwa limefumwa, au kusokotwa; likiwa ni la kitani au la sufu; liwe katika ngozi, au kitu chochote kilichofanywa cha ngozi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
vazi hilo liwe limefumwa au limesokotwa kwa kitani au sufu au ni vazi la ngozi ya aina yoyote ile,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nguo yake ikiwa imefumwa au ikiwa imesokotwa na kushonwa, kama ni ya pamba au ya nywele za kondoo, kama ni ngozi yenyewe au ngozi iliyotengenezwa kwa namna yo yote,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
likiwa limefumwa, au kusokotwa; likiwa ni la kitani au la sufu; kwamba ni katika ngozi, au kitu cho chote kilichofanywa cha ngozi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nguo ile ikuwe imefumwa au imesokotwa kwa kitani au sufu au ni nguo ya ngozi ya aina yoyote,