Leviticus 13:50 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhani atauangalia upele huo na kuliweka vazi hilo kando kwa muda wa siku saba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhani atachunguza ukoma huo na kulitenga vazi hilo kwa siku saba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kuhani ataliangalia hilo pigo, naye atakiweka mahali kile kilicho na pigo muda wa siku saba;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhani atauangalia upele huo na kuliweka vazi hilo kando kwa muda wa siku saba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhani atachunguza upele huo na kukitenga kifaa hicho kwa siku saba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhani atachunguza upele huo na kukitenga kifaa hicho kwa siku saba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kuhani ataliangalia hilo pigo, naye atakiweka mahali kile kilicho na pigo muda wa siku saba;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhani atauangalia upele huo na kuliweka vazi hilo kando kwa muda wa siku saba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtambikaji akiutazama huo ugonjwa mbaya, sharti hicho kilichopatwa nacho akifungie siku saba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kuhani ataliangalia hilo pigo, naye atakiweka mahali kile kilicho na pigo muda wa siku saba;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani ataangalia taka lile na kuweka nguo ile kando kwa muda wa siku saba.