Leviticus 13:53 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama kuhani ataona kuwa upele haukuenea katika vazi, basi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini kuhani akilichunguza na akaona kuwa ule ukoma haujaenea kwenye vazi, au vazi lililofumwa au kusokotwa, au kitu cha ngozi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kama kuhani akitazama, na tazama, ikiwa hilo pigo halikuenea katika hilo vazi, wala katika hilo lililofumwa, wala katika hilo lililosokotwa, wala katika kitu cho chote cha ngozi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama kuhani ataona kuwa upele haukuenea katika vazi, basi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini wakati kuhani atakapokichunguza na kuona kuwa ule upele haujaenea kwenye nguo iliyofumwa au kusokotwa, au vifaa vya ngozi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini wakati kuhani atakapokichunguza na kuona kuwa ule upele haujaenea kwenye nguo iliyofumwa au kusokotwa, au vifaa vya ngozi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kama kuhani akitazama, ikiwa hilo pigo halikuenea katika hilo vazi, wala katika hilo lililofumwa, wala katika hilo lililosokotwa, wala katika kitu chochote cha ngozi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama kuhani ataona kuwa upele haukuenea katika vazi, basi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mtambikaji akivitazama na kuona, ya kama ugonjwa huo mbaya haukuendelea katika nguo au katika nyuzi za kufumwa au katika nyuzi za kusokotwa au katika chombo cho chote cha ngozi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kama kuhani akitazama, na tazama, ikiwa hilo pigo halikuenea katika hilo vazi, wala katika hilo lililofumwa, wala katika hilo lililosokotwa, wala katika kitu cho chote cha ngozi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama kuhani ataona kwamba taka halikuenea katika nguo, basi,