Leviticus 13:54 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ataamuru vazi hilo lifuliwe na kuwekwa kando kwa muda mwingine wa siku saba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ataagiza kwamba vazi lenye maambukizo lisafishwe. Kisha atalitenga kwa siku nyingine saba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo kuhani ataamuru kwamba wakifue kitu kile kilicho na hilo pigo, naye atakiweka mahali muda wa siku saba tena;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ataamuru vazi hilo lifuliwe na kuwekwa kando kwa muda mwingine wa siku saba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ataagiza kwamba kifaa chenye maambukizo kisafishwe. Kisha atakitenga kwa siku saba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ataagiza kwamba kifaa chenye maambukizo kisafishwe. Kisha atakitenga kwa siku saba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo kuhani ataamuru kwamba wakifue kitu kile kilicho na hilo pigo, naye atakiweka mahali muda wa siku saba tena;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ataamuru vazi hilo lifuliwe na kuwekwa kando kwa muda mwingine wa siku saba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mtambikaji na aagize, wavifue vilivyo vyenye ugonjwa huo mbaya, kisha avifungie mara ya pili siku saba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo kuhani ataamuru kwamba wakifue kitu kile kilicho na hilo pigo, naye atakiweka mahali muda wa siku saba tena;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ataamuru nguo ile ifuliwe na kuwekwa pembeni kwa muda mwingine wa siku saba.