Leviticus 13:56 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama kuhani ataona kuwa ile alama imefifia baada ya kufuliwa, basi atararua ile sehemu iliyo na namna ya upele wa ukoma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama kuhani ataona kuwa ile alama imefifia baada ya kuoshwa, basi atararua sehemu iliyoambukizwa ya vazi, au ngozi, au vazi lililofumwa au kusokotwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyo kuhani akiangalia, na tazama, ikiwa hilo pigo limeanza kufifia, baada ya kufuliwa kwake, ndipo atalirarua hilo pigo litoke katika vazi, au katika ngozi, au katika lililofumwa, au katika lililosokotwa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama kuhani ataona kuwa ile alama imefifia baada ya kufuliwa, basi atararua ile sehemu iliyo na namna ya upele wa ukoma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama kuhani ataona kuwa ile alama imefifia baada ya kuoshwa, basi atararua sehemu iliyo ambukizwa ya nguo au ngozi au kifaa kilichofumwa au kusokotwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama kuhani ataona kuwa ile alama imefifia baada ya kuoshwa, basi atararua sehemu iliyo ambukizwa ya nguo au ngozi au kifaa kilichofumwa au kusokotwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyo kuhani ataangalia, ikiwa hilo pigo limeanza kufifia, baada ya kufuliwa kwake, ndipo atalirarua hilo pigo litoke katika vazi, au katika ngozi, au katika lililofumwa, au katika lililosokotwa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama kuhani ataona kuwa ile alama imefifia baada ya kufuliwa, basi atararua ile sehemu iliyo na namna ya upele wa ukoma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mtambikaji akipatazama na kuona, ya kama hapo penye ugonjwa huo mbaya pameanza kufifia, vile vitu vilipofuliwa, basi, na apaondoe katika nguo au katika ngozi au katika nyuzi za kufumwa au katika nyuzi za kusokotwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyo kuhani akiangalia, na tazama, ikiwa hilo pigo limeanza kufifia, baada ya kufuliwa kwake, ndipo atalirarua hilo pigo litoke katika vazi, au katika ngozi, au katika lililofumwa, au katika lililosokotwa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama kuhani ataona kwamba ile alama imefifia kisha kufuliwa, basi atakata ile sehemu inayokuwa na namna ya ukoma.