Leviticus 13:58 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini vazi ambalo upele umetokea baada ya kulifua itabidi lifuliwe mara ya pili na hivyo lipate kuwa safi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vazi, au vazi lililofumwa au kusokotwa, au kitu chochote cha ngozi, baada ya kusafishwa na kuondolewa ukoma, ni lazima lioshwe tena, ili liwe safi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hilo vazi, lililofumwa, au lililosokotwa, au kitu cho chote cha ngozi, utakalolifua, kama hilo pigo limetoka na kuliacha, ndipo litafuliwa mara ya pili, nalo litakuwa safi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini vazi ambalo upele umetokea baada ya kulifua itabidi lifuliwe mara ya pili na hivyo lipate kuwa safi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nguo, au kitu kilichofumwa au kusokotwa, au kifaa cho chote cha ngozi ambacho kimesafishwa na kuondolewa upele, ni lazima kioshwe tena, nacho kitakuwa safi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nguo, au kitu kilichofumwa au kusokotwa, au kifaa chochote cha ngozi ambacho kimesafishwa na kuondolewa upele, ni lazima kioshwe tena, nacho kitakuwa safi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hilo vazi, lililofumwa, au lililosokotwa, au kitu chochote cha ngozi, utakalolifua, kama hilo pigo limetoka na kuliacha, ndipo litafuliwa mara ya pili, nalo litakuwa safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini vazi ambalo upele umetokea baada ya kulifua itabidi lifuliwe mara ya pili na hivyo lipate kuwa safi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hizo nguo au hizo nyuzi za kufumwa au hizo nyuzi za kusokotwa au hivyo vyombo vyo vyote vya ngozi vilivyotokwa na ugonjwa huo mbaya vilipofuliwa na vifuliwe mara ya pili; ndipo, vitakapokuwa vimetakata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hilo vazi, lililofumwa, au lililosokotwa, au kitu cho chote cha ngozi, utakalolifua, kama hilo pigo limetoka na kuliacha, ndipo litafuliwa mara ya pili, nalo litakuwa safi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini nguo ambayo taka limetokea kisha kufuliwa, itafuliwa kwa mara ya pili na hivyo itapata kuwa safi.