Leviticus 13:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhani atamwangalia tena, na kama ule upele umeenea kwenye ngozi, basi, kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa najisi; huo ni ukoma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhani atamchunguza, na kama upele umeenea kwenye ngozi, atamtangaza kuwa najisi, kwani ni ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kuhani ataangalia, na tazama ikiwa hicho kikoko kimeenea katika ngozi, ndipo kuhani atasema kuwa yu najisi; ni ukoma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhani atamwangalia tena, na kama ule upele umeenea kwenye ngozi, basi, kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa najisi; huo ni ukoma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhani atamchunguza na kama upele umeenea kwenye ngozi, atamtangaza kuwa najisi, kwani ni ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza yaani ukoma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhani atamchunguza, na kama upele umeenea kwenye ngozi, atamtangaza kuwa najisi, kwani ni ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza, yaani ukoma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye kuhani ataangalia, ikiwa huo upele umeenea katika ngozi, ndipo kuhani atasema kuwa ni najisi; ni ukoma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhani atamwangalia tena, na kama ule upele umeenea kwenye ngozi, basi, kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa najisi; huo ni ukoma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtambikaji atakapomtazama tena na kuona, ya kama hiyo mba imeongezeka mwilini, mtambikaji hana budi kusema, ya kama ni mwenye uchafu, kwa kuwa ni ukoma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kuhani ataangalia, na tazama ikiwa hicho kikoko kimeenea katika ngozi, ndipo kuhani atasema kuwa yu najisi; ni ukoma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani atamwangalia tena, na kama ule upele umeenea kwenye ngozi, basi, kuhani atamutangaza mutu yule kuwa muchafu, huo ni ukoma.