Leviticus 13:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama mtu ameshikwa na ukoma, ataletwa kwa kuhani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Wakati mtu yeyote ana ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza, ni lazima aletwe kwa kuhani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pigo la ukoma litakapokuwa katika mtu, ndipo ataletwa kwa kuhani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama mtu ameshikwa na ukoma, ataletwa kwa kuhani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wakati mtu ye yote ana ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza, ni lazima aletwe kwa kuhani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wakati mtu yeyote ana ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza, ni lazima aletwe kwa kuhani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu atakapopatwa na ugonjwa wa ukoma, ndipo ataletwa kwa kuhani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama mtu ameshikwa na ukoma, ataletwa kwa kuhani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akiwa mwenye pigo la ukoma sharti apelekwe kwa mtambikaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pigo la ukoma litakapokuwa katika mtu, ndipo ataletwa kwa kuhani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mutu ameshikwa na ukoma, ataletwa kwa kuhani.