Leviticus 14:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhani atakayemtakasa mtu huyo atamleta mbele ya Mwenyezi-Mungu karibu na mlango wa hema la mkutano pamoja na vitu alivyoleta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhani anayemtangaza kuwa safi atamkabidhi mtu huyo atakayetakaswa pamoja na sadaka zake zote mbele za Mwenyezi Mungu katika ingilio la Hema la Kukutania.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha kuhani atakayemtakasa atamsimamisha huyo mtu atakayetakaswa, pamoja na vitu vile vyote, mbele za Bwana, mlangoni pa hema ya kukutania;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhani atakayemtakasa mtu huyo atamleta mbele ya Mwenyezi-Mungu karibu na mlango wa hema la mkutano pamoja na vitu alivyoleta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhani atakayemtangaza kuwa safi atahitaji kumkabidhi mgonjwa aliyepona pamoja na sadaka zake zote mbele za BWANA katika ingilio la Hema la Kukutania.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhani atakayemtangaza kuwa safi atahitaji kumkabidhi mgonjwa aliyepona pamoja na sadaka zake zote mbele za bwana katika ingilio la Hema la Kukutania.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha kuhani atakayemtakasa atamsimamisha huyo mtu atakayetakaswa, pamoja na vitu vile vyote, mbele za BWANA, mlangoni pa hema ya kukutania;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhani atakayemtakasa mtu huyo atamleta mbele ya Mwenyezi-Mungu karibu na mlango wa hema la mkutano pamoja na vitu alivyoleta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mtambikaji anayeeua na amsimamishe mwenye kueuliwa pamoja na hivyo vitu vyake mbele ya Bwana penye kuliingilia Hema la Mkutano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha kuhani atakayemtakasa atamsimamisha huyo mtu atakayetakaswa, pamoja na vitu vile vyote, mbele za BWANA, mlangoni pa hema ya kukutania;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani atakayetakasa mutu huyo atamuleta mbele ya Yawe karibu na mulango wa hema la mukutano pamoja na vitu alivyoleta.