Leviticus 14:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhani atachukua mwanakondoo dume mmoja na kumtolea sadaka ya kuondoa hatia pamoja na yale mafuta theluthi moja ya lita. Atafanya ishara ya kuvitolea mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kisha kuhani atamchukua mmoja wa wale kondoo dume na kumtoa kuwa sadaka ya hatia, pamoja na ile logi moja ya mafuta; ataviinua mbele za Mwenyezi Mungu kuwa sadaka ya kuinuliwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha kuhani atamshika mmoja katika hao wana-kondoo waume, na kumsongeza awe sadaka ya hatia, pamoja na hiyo logi ya mafuta, kisha atavitikisa kuwa ni sadaka ya kutikiswa mbele za Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhani atachukua mwanakondoo dume mmoja na kumtolea sadaka ya kuondoa hatia pamoja na yale mafuta theluthi moja ya lita. Atafanya ishara ya kuvitolea mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kisha kuhani atamchukua mmoja wa wale kondoo dume na kumtoa kuwa sadaka ya hatia pamoja na ile logi moja ya mafuta; ataviinua mbele za BWANA kuwa sadaka ya kuinuliwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kisha kuhani atamchukua mmoja wa wale kondoo dume na kumtoa kuwa sadaka ya hatia, pamoja na ile logi moja ya mafuta; ataviinua mbele za bwana kuwa sadaka ya kuinuliwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha kuhani atamshika mmoja kati ya hao wana-kondoo madume, na kumsongeza awe sadaka ya hatia, pamoja na hiyo logi ya mafuta, kisha atavitikisa kuwa ni sadaka ya kutikiswa mbele za BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhani atachukua mwanakondoo dume mmoja na kumtolea sadaka ya kuondoa hatia pamoja na yale mafuta theluthi moja ya lita. Atafanya ishara ya kuvitolea mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mtambikaji na achukue mwana kondoo mmoja, amtoe kuwa ng'ombe ya tambiko ya upozi pamoja na ile nusu kibaba ya mafuta, ampitishe motoni mbele ya Bwana kuwa kipaji cha tambiko cha kupitishwa motoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha kuhani atamshika mmoja katika hao wana-kondoo waume, na kumsongeza awe sadaka ya hatia, pamoja na hiyo logi ya mafuta, kisha atavitikisa kuwa ni sadaka ya kutikiswa mbele za BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani atatwaa mwana-kondoo dume mumoja na kumutolea sadaka kwa ajili ya kosa pamoja na yale mafuta sehemu moja ya tatu ya litre. Atafanya kitambulisho cha kuvitolea mbele ya Yawe.