Leviticus 14:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, kuhani atachukua kiasi cha ile theluthi moja ya mafuta na kuyatia katika kiganja cha mkono wake wa kushoto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha kuhani atachukua sehemu ya ile logi ya mafuta, ayamimine kwenye kiganja cha mkono wake mwenyewe wa kushoto,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha kuhani atatwaa katika hiyo logi ya mafuta, na kuyamimina katika kitanga cha mkono wake mwenyewe wa kushoto;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, kuhani atachukua kiasi cha ile theluthi moja ya mafuta na kuyatia katika kiganja cha mkono wake wa kushoto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhani atachukua sehemu ya ile logi ya mafuta, atamimina kwenye kiganja cha mkono wake mwenyewe wa kushoto,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhani atachukua sehemu ya ile logi ya mafuta, ayamimine kwenye kiganja cha mkono wake mwenyewe wa kushoto,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha kuhani atatwaa katika hiyo logi ya mafuta, na kuyamimina katika kitanga cha mkono wake mwenyewe wa kushoto;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, kuhani atachukua kiasi cha ile theluthi moja ya mafuta na kuyatia katika kiganja cha mkono wake wa kushoto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mtambikaji na achukue mafuta kidogo ya ile nusu kibaba, ayamimine katika gao lake mtambikaji la mkono wake wa kushoto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha kuhani atatwaa katika hiyo logi ya mafuta, na kuyamimina katika kitanga cha mkono wake mwenyewe wa kushoto;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, kuhani atatwaa sehemu ya ile sehemu moja ya tatu ya mafuta na kuyatia katika kigaja cha mukono wake wa kushoto.