Leviticus 14:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ifuatayo ni sheria kumhusu mwenye ukoma katika siku ya kutakaswa kwake. Baada ya kupona ataletwa kwa kuhani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Haya ndio masharti yanayomhusu mtu mgonjwa wakati wa ibada yake ya utakaso, anapoletwa kwa kuhani:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hii ndiyo sheria ya mwenye ukoma, katika siku ya kutakaswa kwake; ataletwa kwa kuhani,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ifuatayo ni sheria kumhusu mwenye ukoma katika siku ya kutakaswa kwake. Baada ya kupona ataletwa kwa kuhani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Haya ndiyo masharti yamhusuyo mtu mgonjwa wakati wa kufanyiwa ibada ya utakaso wakati aletwapo kwa kuhani:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Haya ndiyo masharti yamhusuyo mtu mgonjwa wakati wa kufanyiwa ibada ya utakaso wakati aletwapo kwa kuhani:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hii ndiyo sheria ya mwenye ukoma, katika siku ya kutakaswa kwake; ataletwa kwa kuhani,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ifuatayo ni sheria kumhusu mwenye ukoma katika siku ya kutakaswa kwake. Baada ya kupona ataletwa kwa kuhani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya ndiyo maonyo yampasayo mtu mwenye ukoma siku ya kueuliwa kwake: sharti apelekwe kwa mtambikaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hii ndiyo sheria ya mwenye ukoma, katika siku ya kutakaswa kwake; ataletwa kwa kuhani,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hii ndiyo sheria juu ya mwenye ukoma katika siku ya kutakaswa kwake. Kisha kupona ataletwa kwa kuhani.