Leviticus 14:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhani atampaka huyo mtu anayetakaswa mafuta katika ncha ya sikio lake la kulia, katika kidole gumba cha mkono wake wa kulia, na kidole gumba cha mguu wake wa kulia. Atampaka mahali pale ambapo alimpaka ile damu ya sadaka ya kuondoa hatia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atampaka mafuta yaliyobaki kwenye kiganja chake katika sehemu zote, kama alivyompaka damu ya sadaka ya hatia: yaani kwenye ncha ya sikio la kuume la yule anayetakaswa, kwenye kidole gumba cha mkono wake wa kuume, na kidole kikubwa cha mguu wake wa kuume.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha kuhani atatia mengine katika hayo mafuta yaliyo mkononi mwake katika ncha ya sikio la kuume la huyo atakayetakaswa, na katika chanda cha gumba cha mkono wake wa kuume, na katika kidole kikuu cha mguu wake wa kuume, juu ya mahali pale penye damu ya sadaka ya hatia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhani atampaka huyo mtu anayetakaswa mafuta katika ncha ya sikio lake la kulia, katika kidole gumba cha mkono wake wa kulia, na kidole gumba cha mguu wake wa kulia. Atampaka mahali pale ambapo alimpaka ile damu ya sadaka ya kuondoa hatia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atampaka mafuta yaliyobaki kwenye kiganja chake katika sehemu zote kama alivyompaka damu ya sadaka ya hatia: yaani, kwenye ncha ya sikio la kuume la yule anayetakaswa, kwenye kidole gumba cha mkono wake wa kuume, na kidole kikubwa cha mguu wa kuume.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atampaka mafuta yaliyobaki kwenye kiganja chake katika sehemu zote, kama alivyompaka damu ya sadaka ya hatia: yaani, kwenye ncha ya sikio la kuume la yule anayetakaswa, kwenye kidole gumba cha mkono wake wa kuume, na kidole kikubwa cha mguu wake wa kuume.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha kuhani atatia mengine katika hayo mafuta yaliyo mkononi mwake katika ncha ya sikio la kulia la huyo atakayetakaswa, na katika kidole gumba cha mkono wake wa kulia, na katika kidole gumba cha mguu wake wa kulia, juu ya mahali pale penye damu ya sadaka ya hatia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhani atampaka huyo mtu anayetakaswa mafuta katika ncha ya sikio lake la kulia, katika kidole gumba cha mkono wake wa kulia, na kidole gumba cha mguu wake wa kulia. Atampaka mahali pale ambapo alimpaka ile damu ya sadaka ya kuondoa hatia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mtambikaji hayo mafuta yaliyomo katika gao lake mengine na ayatumie kumpaka mwenye kueuliwa pembe ya chini ya sikio lake la kuume, nalo dole gumba la mkono wake wa kuume, nalo dole gumba la mguu wake wa kuume hapo penye damu ya ng'ombe ya tambiko ya upozi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha kuhani atatia mengine katika hayo mafuta yaliyo mkononi mwake katika ncha ya sikio la kuume la huyo atakayetakaswa, na katika chanda cha gumba cha mkono wake wa kuume, na katika kidole kikuu cha mguu wake wa kuume, juu ya mahali pale penye damu ya sadaka ya hatia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani atamupakaa yule mutu anayetakaswa mafuta katika incha ya sikio lake la kuume, kwenye kidole gumba cha mukono wake wa kuume, na kidole gumba cha muguu wake wa kuume. Atamupakaa pahali pale ambapo alimupakaa ile damu ya sadaka kwa ajili ya kosa.