Leviticus 14:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhani atakwenda kumwangalia huyo mtu nje ya kambi. Ikiwa ukoma huo umepona,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhani ataenda kumchunguza nje ya kambi. Kama mtu huyo atakuwa amepona ugonjwa wake wa ngozi wa kuambukiza,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na huyo kuhani atatoka aende nje ya marago; na kuhani ataangalia, na tazama, ikiwa pigo la ukoma limepoa kwake huyo mwenye ukoma;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhani atakwenda kumwangalia huyo mtu nje ya kambi. Ikiwa ukoma huo umepona,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhani atakwenda kumchunguza nje ya kambi. Kama mtu huyo atakuwa amepona ugonjwa wake wa ngozi wa kuambukiza,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhani atakwenda kumchunguza nje ya kambi. Kama mtu huyo atakuwa amepona ugonjwa wake wa ngozi wa kuambukiza,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na huyo kuhani atatoka aende nje ya kambi; na kuhani ataangalia, ikiwa pigo la ukoma limepoa kwake huyo mwenye ukoma;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhani atakwenda kumwangalia huyo mtu nje ya kambi. Ikiwa ukoma huo umepona,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mtambikaji na amtokee nje ya makambi; mtambikaji akimtazama na kuona, ya kama huyu mwenye ukoma amepona ugonjwa mbaya wa ukoma,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na huyo kuhani atatoka aende nje ya marago; na kuhani ataangalia, na tazama, ikiwa pigo la ukoma limepoa kwake huyo mwenye ukoma;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani atakwenda kumwangalia yule mutu inje ya kambi. Ikiwa ukoma huo umepona,