Leviticus 14:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha kuhani atamchukua mmoja wa wale hua au njiwa wawili kadiri mtu huyo anavyoweza kuleta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha atatoa dhabihu wale hua ama makinda wa njiwa ambao yule mtu ataweza kuwapata,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha atasongeza hao hua mmojawapo, au hao makinda ya njiwa mmojawapo, kadiri ya awezao kuwapata;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha kuhani atamchukua mmoja wa wale hua au njiwa wawili kadiri mtu huyo anavyoweza kuleta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha atatoa dhabihu wale hua ama yale makinda ya njiwa, ambayo mtu ataweza kuwapata,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha atatoa dhabihu wale hua ama yale makinda ya njiwa ambayo mtu ataweza kuwapata,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha atasongeza hao hua mmojawapo, au hao makinda ya njiwa mmojawapo, kadiri ya awezao kuwapata;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha kuhani atamchukua mmoja wa wale hua au njiwa wawili kadiri mtu huyo anavyoweza kuleta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mtambikaji na atengeneze hua mmoja au kinda moja la njiwa manga, mkono wake yule ulioweza kuwatoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha atasongeza hao hua mmojawapo, au hao makinda ya njiwa mmojawapo, kadiri ya awezao kuwapata;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kuhani atatwaa mumoja wa wale hua au njiwa wawili kadiri mutu yule anavyoweza kuleta.