Leviticus 14:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huo ndio mwongozo kuhusu mtu mwenye ukoma asiyeweza kutoa sadaka za kumtakasa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya ndio masharti kwa mtu yeyote mwenye ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza, na ambaye hana uwezo wa kutoa sadaka za kawaida kwa ajili ya kutakaswa kwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyo ambaye ndani yake mna pigo la ukoma, ambaye hawezi kukipata hicho kipasacho kutakaswa kwake, sheria yake ni hiyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huo ndio mwongozo kuhusu mtu mwenye ukoma asiyeweza kutoa sadaka za kumtakasa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya ndiyo masharti kwa mtu ye yote mwenye ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza na ambaye hana uwezo wa kutoa sadaka za kawaida kwa ajili ya kutakaswa kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya ndiyo masharti kwa mtu yeyote mwenye ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza, na ambaye hana uwezo wa kutoa sadaka za kawaida kwa ajili ya kutakaswa kwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyo ambaye ndani yake mna pigo la ukoma, ambaye hawezi kukipata hicho kipasacho kutakaswa kwake, sheria yake ni hiyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huo ndio mwongozo kuhusu mtu mwenye ukoma asiyeweza kutoa sadaka za kumtakasa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya ndiyo maonyo ya kufundisha mambo ya mtu aliyepatwa na ugonjwa huo mbaya wa ukoma, ambaye mkono wake hauwezi kuyatoa yaupasayo weuo wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyo ambaye ndani yake mna pigo la ukoma, ambaye hawezi kukipata hicho kipasacho kutakaswa kwake, sheria yake ni hiyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hii ndiyo sheria juu ya mutu mwenye ukoma asiyeweza kutoa sadaka za kumutakasa.