Leviticus 14:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtakapoingia katika nchi ya Kanaani ambayo ninawapa kuwa milki yenu, nami nikafanya namna ya upele wa ukoma uote katika ukuta wa nyumba fulani katika nchi mtakayoimiliki,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mtakapoingia katika nchi ya Kanaani ninayowapa kuwa milki yenu, nami nikaweka ukoma unaoenea kwenye nyumba katika nchi ile,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapo mtakapoingia nchi ya Kanaani, ambayo nawapa kuwa ni milki yenu, nami nitakapolitia pigo la ukoma katika nyumba ya nchi hiyo ya milki yenu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtakapoingia katika nchi ya Kanaani ambayo ninawapa kuwa milki yenu, nami nikafanya namna ya upele wa ukoma uote katika ukuta wa nyumba fulani katika nchi mtakayoimiliki,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mtakapoingia katika nchi ya Kanaani ambayo ninawapa kuwa milki yenu, nami nikaweka upele ueneao kwenye nyumba katika nchi ile,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mtakapoingia katika nchi ya Kanaani ambayo ninawapa kuwa milki yenu, nami nikaweka upele ueneao kwenye nyumba katika nchi ile,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapo mtakapoingia nchi ya Kanaani, ambayo nawapa kuwa ni milki yenu, nami nitakapolitia pigo la ukoma katika nyumba ya nchi hiyo ya milki yenu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtakapoingia katika nchi ya Kanaani ambayo ninawapa kuwa milki yenu, nami nikafanya namna ya upele wa ukoma uote katika ukuta wa nyumba fulani katika nchi mtakayoimiliki,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtakapoiingia nchi ya Kanaani, nitakayowapa kuwa yenu, itakuwa, nipige nyumba ya hiyo nchi, ikiisha kuwa yenu, hiyo nyumba ipatwe na ukoma;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapo mtakapoingia nchi ya Kanaani, ambayo nawapa kuwa ni milki yenu, nami nitakapolitia pigo la ukoma katika nyumba ya nchi hiyo ya milki yenu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutakapoingia katika inchi ya Kanana ambayo ninawapa kuwa urizi wenu, nami nikifanya namna ya ukoma uote katika ukuta wa nyumba fulani katika inchi mutakayorizi,