Leviticus 14:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, mwenye nyumba hiyo ni lazima amwambie kuhani kwamba namna ya upele wa ukoma umeonekana katika nyumba yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ni lazima mwenye nyumba hiyo akamwambie kuhani, ‘Nimeona kitu fulani kinachofanana na ukoma kwenye nyumba yangu.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo mwenye nyumba hiyo atakwenda na kumwambia kuhani, akisema, Naona mimi ya kwamba pana kama pigo katika nyumba yangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, mwenye nyumba hiyo ni lazima amwambie kuhani kwamba namna ya upele wa ukoma umeonekana katika nyumba yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ni lazima mwenye nyumba hiyo akamwambie kuhani, ‘Nimeona kitu fulani kinachofanana na upele kwenye nyumba yangu.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ni lazima mwenye nyumba hiyo akamwambie kuhani, ‘Nimeona kitu fulani kinachofanana na upele kwenye nyumba yangu.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo mwenye nyumba hiyo atakwenda na kumwambia kuhani, akisema, Naona mimi ya kwamba pana kama pigo katika nyumba yangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, mwenye nyumba hiyo ni lazima amwambie kuhani kwamba namna ya upele wa ukoma umeonekana katika nyumba yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo mwenye nyumba na afike kwa mtambikaji kumpasha habari kwamba: Nyumbani mwangu mna kitu kinachoonekana kuwa kama ugonjwa mbaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo mwenye nyumba hiyo atakwenda na kumwambia kuhani, akisema, Naona mimi ya kwamba pana kama pigo katika nyumba yangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, mwenye nyumba hiyo anapaswa kumwambia kuhani kwamba namna ya taka la ukoma imeonekana katika nyumba yake.