Leviticus 14:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atauchunguza upele huo; kama upele huo umeonekana ukutani na umesababisha madoa ya rangi ya kijani kibichi au nyekundu na kuonekana kuwa yamepenya ndani ya kuta,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atachunguza ukoma huo katika kuta za nyumba hiyo, nazo kama zina rangi ya kijani kibichi au wekundu, na kuna mibonyeo ndani ya ukuta,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye ataliangalia hilo pigo, na tazama, likiwa pigo limo ndani ya kuta za nyumba, nalo lina mashimo-mashimo, rangi ya majani, au mekundu, na kuonekana kuingia ndani kuliko huo ukuta;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atauchunguza upele huo; kama upele huo umeonekana ukutani na umesababisha madoa ya rangi ya kijani kibichi au nyekundu na kuonekana kuwa yamepenya ndani ya kuta,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atachunguza upele huo katika kuta za nyumba hiyo, nazo kama zina rangi ya kijani kibichi au wekundu na kuna mibonyeo ndani ya ukuta,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atachunguza upele huo katika kuta za nyumba hiyo, nazo kama zina rangi ya kijani kibichi au wekundu, na kuna mibonyeo ndani ya ukuta,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye ataliangalia hilo pigo, na tazama, likiwa pigo limo ndani ya kuta za nyumba, nalo lina mashimo-mashimo, rangi ya kijani, au nyekundu, na kuonekana kuingia ndani kuliko huo ukuta;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atauchunguza upele huo; kama upele huo umeonekana ukutani na umesababisha madoa ya rangi ya kijani kibichi au nyekundu na kuonekana kuwa yamepenya ndani ya kuta,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akipatazama hapo palipopatwa na ugonjwa huo mbaya na kuona, ya kama ugonjwa huo mbaya umezipata kuta za hiyo nyumba na kutia vishimoshimo vyenye madoadoa ya kimajanijani au ya damudamu, navyo vikionekana kuwa vinabonyea ukutani,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye ataliangalia hilo pigo, na tazama, likiwa pigo limo ndani ya kuta za nyumba, nalo lina mashimo-mashimo, rangi ya majani, au mekundu, na kuonekana kuingia ndani kuliko huo ukuta;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atachunguza taka lile. Kama taka lile limeonekana juu ya ukuta na limesababisha madoa ya rangi ya kijani kibichi au nyekundu na kuonekana kuwa yamepenya ndani ya kuta,