Leviticus 14:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, kuhani atatoka nje mlangoni na kuifunga nyumba hiyo kwa muda wa siku saba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kuhani atatoka na kufunga mlango wa nyumba hiyo kwa siku saba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo kuhani atatoka katika nyumba hiyo mpaka mlangoni pa nyumba, na kuifunga hiyo nyumba muda wa siku saba;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, kuhani atatoka nje mlangoni na kuifunga nyumba hiyo kwa muda wa siku saba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kuhani atatoka na kufunga mlango wa nyumba hiyo kwa siku saba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kuhani atatoka na kufunga mlango wa nyumba hiyo kwa siku saba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo kuhani atatoka katika nyumba hiyo mpaka mlangoni pa nyumba, na kuifunga hiyo nyumba muda wa siku saba;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, kuhani atatoka nje mlangoni na kuifunga nyumba hiyo kwa muda wa siku saba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mtambikaji na atoke humo nyumbani na kupitia hapo pa kuiingilia nyumba hiyo, kisha hiyo nyumba na aifunge siku saba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo kuhani atatoka katika nyumba hiyo mpaka mlangoni pa nyumba, na kuifunga hiyo nyumba muda wa siku saba;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, kuhani atatoka inje kwenye mulango na kufunga nyumba hiyo kwa muda wa siku saba.