Leviticus 14:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ya saba kuhani atarudi na kuiangalia tena nyumba hiyo. Ikiwa upele huo umeenea katika kuta za nyumba hiyo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ya saba, kuhani atarudi kuikagua nyumba. Kama ukoma umeenea juu ya kuta,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
siku ya saba kuhani atakwenda tena, naye ataangalia; na tazama, likiwa pigo limeenea katika kuta za nyumba;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ya saba kuhani atarudi na kuiangalia tena nyumba hiyo. Ikiwa upele huo umeenea katika kuta za nyumba hiyo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ya saba, kuhani atarudi kuikagua nyumba. Kama upele umeenea juu ya kuta,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ya saba, kuhani atarudi kuikagua nyumba. Kama upele umeenea juu ya kuta,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
siku ya saba kuhani atakwenda tena, naye ataangalia; na tazama, likiwa pigo limeenea katika kuta za nyumba;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ya saba kuhani atarudi na kuiangalia tena nyumba hiyo. Ikiwa upele huo umeenea katika kuta za nyumba hiyo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtambikaji atakaporudi siku ya saba, akiitazama na kuona, ya kama huo ugonjwa mbaya umeendelea katika kuta za nyumba hiyo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
siku ya saba kuhani atakwenda tena, naye ataangalia; na tazama, likiwa pigo limeenea katika kuta za nyumba;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ya saba kuhani atarudi na kuangalia tena nyumba hiyo. Ikiwa taka lile limeenea katika kuta za nyumba hiyo,