Leviticus 14:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, kuhani ataamuru watu walete ndege wawili safi walio hai, kipande cha mwerezi, sufu ya rangi nyekundu na tawi la husopo kwa ajili ya huyo mtu atakayetakaswa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kuhani ataagiza vitu vifuatavyo viletwe kwa ajili ya mtu atakayetakaswa: ndege wawili safi walio hai, mti wa mwerezi, kitani nyekundu, na hisopo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo huyo kuhani ataagiza kwamba watwae kwa ajili yake atakayetakaswa ndege wawili walio hai, ambao ni safi, na mti wa mwerezi, na sufu nyekundu, na hisopo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, kuhani ataamuru watu walete ndege wawili safi walio hai, kipande cha mwerezi, sufu ya rangi nyekundu na tawi la husopo kwa ajili ya huyo mtu atakayetakaswa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kuhani ataagiza vitu vifuatavyo viletwe kwa ajili ya mtu atakayetakaswa: ndege wawili safi walio hai, mti wa mwerezi, kitani nyekundu na hisopo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kuhani ataagiza vitu vifuatavyo viletwe kwa ajili ya mtu atakayetakaswa: ndege wawili safi walio hai, mti wa mwerezi, kitani nyekundu, na hisopo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo huyo kuhani ataagiza kwamba watwae kwa ajili yake atakayetakaswa ndege wawili walio hai, ambao ni safi, na mti wa mwerezi, na sufu nyekundu, na hisopo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, kuhani ataamuru watu walete ndege wawili safi walio hai, kipande cha mwerezi, sufu ya rangi nyekundu na tawi la husopo kwa ajili ya huyo mtu atakayetakaswa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mtambikaji na aagize, wamletee huyo mwenye kueuliwa ndege wawili walio wazima walio wenye kutakata, tena kipande cha mwangati na nyuzi nyekundu na kivumbasi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo huyo kuhani ataagiza kwamba watwae kwa ajili yake atakayetakaswa ndege wawili walio hai, ambao ni safi, na mti wa mwerezi, na sufu nyekundu, na hisopo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, kuhani ataamuru watu walete ndege wawili safi wanaokuwa wazima, kipande cha muti wa mwerezi, sufu ya rangi nyekundu na tawi la hisopo kwa ajili ya yule mutu atakayetakaswa.