Leviticus 14:41 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lipu ya nyumba hiyo itabanduliwa na kifusi chake kutupwa mahali najisi nje ya mji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuta zote za ndani ya nyumba hiyo ni lazima zikwanguliwe, na kifusi chake kitupwe mahali najisi nje ya mji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye atafanya kwamba hiyo nyumba ikwanguwe ndani pande zote, na chokaa watakayokwangua wataimwaga nje ya mji mahali palipo na uchafu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lipu ya nyumba hiyo itabanduliwa na kifusi chake kutupwa mahali najisi nje ya mji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuta zote za ndani ya nyumba hiyo ni lazima zikwanguliwe na kifusi chake kitupwe mahali najisi nje ya mji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuta zote za ndani ya nyumba hiyo ni lazima zikwanguliwe, na kifusi chake kitupwe mahali najisi nje ya mji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye atafanya kwamba hiyo nyumba ikwanguliwe ndani pande zote, na chokaa watakayokwangua wataimwaga nje ya mji mahali palipo na uchafu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lipu ya nyumba hiyo itabanduliwa na kifusi chake kutupwa mahali najisi nje ya mji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha hiyo nyumba na waikwangue po pote upande wa ndani, nazo takataka, watakazokwangua, na wazimwage mahali penye uchafu nje ya mji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye atafanya kwamba hiyo nyumba ikwanguwe ndani pande zote, na chokaa watakayokwangua wataimwaga nje ya mji mahali palipo na uchafu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lipu ya ndani ya nyumba hiyo itakwaruzwa na uchafu wake utatupwa pahali pachafu inje ya muji.