Leviticus 14:42 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha watachukua mawe mapya na kujenga mahali walipobomoa; nao wataipiga nyumba hiyo lipu upya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha watachukua mawe mengine na kujenga palipobomolewa kwa udongo mpya wa mfinyanzi, na wapake nyumba hiyo chokaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha watatwaa mawe mengine, na kuyatia mahali pa mawe hayo; naye atatwaa chokaa nyingine, na kuipaka chokaa hiyo nyumba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha watachukua mawe mapya na kujenga mahali walipobomoa; nao wataipiga nyumba hiyo lipu upya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha watachukua mawe mengine na kujenga palipobomolewa kwa udongo mpya wa mfinyanzi na kuipiga nyumba hiyo lipu mpya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha watachukua mawe mengine na kujenga palipobomolewa kwa udongo mpya wa mfinyanzi, na kuipiga nyumba hiyo lipu mpya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha watatwaa mawe mengine, na kuyatia mahali pa mawe hayo; naye atatwaa chokaa nyingine, na kuipaka chokaa hiyo nyumba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha watachukua mawe mapya na kujenga mahali walipobomoa; nao wataipiga nyumba hiyo lipu upya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha na wachukue mawe mengine, wayatie hapo, yale mawe yalipokuwa, kisha wachukue udongo mwingine wa kuipaka hiyo nyumba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha watatwaa mawe mengine, na kuyatia mahali pa mawe hayo; naye atatwaa chokaa nyingine, na kuipaka chokaa hiyo nyumba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha watatwaa mawe mapya na kujenga pahali walipobomoa. Nao watapiga nyumba hiyo lipu upya.