Leviticus 14:43 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ikiwa upele huo utatokea tena baada ya kutoa mawe hayo na kukwangua lipu na kuipiga lipu upya,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ikiwa ukoma huo utatokea tena ndani ya ile nyumba baada ya mawe kuondolewa, na nyumba kukwanguliwa na kupakwa chokaa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kama hilo pigo likirudi tena, na kutokea ndani ya nyumba, baada ya yeye kuyatoa hayo mawe, na baada ya kuikwangua nyumba, na baada ya kupakwa chokaa,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ikiwa upele huo utatokea tena baada ya kutoa mawe hayo na kukwangua lipu na kuipiga lipu upya,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ikiwa upele huo utatokea tena ndani ya ile nyumba baada ya mawe kuondolewa na nyumba kukwanguliwa na kuwekwa lipu mpya,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ikiwa upele huo utatokea tena ndani ya ile nyumba baada ya mawe kuondolewa na nyumba kukwanguliwa na kuwekwa lipu mpya,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kama hilo pigo likirudi tena, na kutokea ndani ya nyumba, baada ya yeye kuyatoa hayo mawe, na baada ya kuikwangua nyumba, na baada ya kupakwa chokaa,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ikiwa upele huo utatokea tena baada ya kutoa mawe hayo na kukwangua lipu na kuipiga lipu upya,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ugonjwa huo mbaya utakaporudi na kutokea tena humo nyumbani, wakiisha kuyatoa mawe yote na kuikwangua hiyo nyumba na kuipaka tena,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kama hilo pigo likirudi tena, na kutokea ndani ya nyumba, baada ya yeye kuyatoa hayo mawe, na baada ya kuikwangua nyumba, na baada ya kupakwa chokaa,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa taka lile litatokea tena kisha kutoa mawe hayo na kukwaruza lipu na kuipiga lipu upya,