Leviticus 14:44 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
yapasa kuhani aje kuichunguza. Ikiwa upele umeenea katika nyumba hiyo, basi huo ni upele wa kufisha; nyumba hiyo ni najisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kuhani ataenda kuikagua, na kama ukoma umeenea ndani ya nyumba, basi ni ukoma unaoharibu; nyumba hiyo ni najisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo kuhani ataingia ndani na kuangalia, na tazama, likiwa pigo limeenea ndani ya hiyo nyumba, ni ukoma unaokula hiyo nyumba; ni katika unajisi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
yapasa kuhani aje kuichunguza. Ikiwa upele umeenea katika nyumba hiyo, basi huo ni upele wa kufisha; nyumba hiyo ni najisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kuhani atakwenda kuikagua na kama upele umeenea ndani ya nyumba, basi ni upele uharibuo; nyumba hiyo ni najisi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kuhani atakwenda kuikagua, na kama upele umeenea ndani ya nyumba, basi ni upele uharibuo; nyumba hiyo ni najisi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo kuhani ataingia ndani na kuangalia, likiwa pigo limeenea ndani ya hiyo nyumba, ni ukoma unaodhuru hiyo nyumba; ni unajisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
yapasa kuhani aje kuichunguza. Ikiwa upele umeenea katika nyumba hiyo, basi huo ni upele wa kufisha; nyumba hiyo ni najisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mtambikaji sharti aje tena; akiitazama na kuona, ya kama ugonjwa huo mbaya umeendelea humo nyumbani, basi, ndio ukoma unaokula humo nyumbani, kwa hiyo nyumba ni yenye uchafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo kuhani ataingia ndani na kuangalia, na tazama, likiwa pigo limeenea ndani ya hiyo nyumba, ni ukoma unaokula hiyo nyumba; ni katika unajisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
inapasa kuhani akuje kuichunguza. Ikiwa taka limeenea katika nyumba hiyo, basi huo ni ukoma wenye kuteketeza, nyumba hiyo ni chafu.