Leviticus 14:47 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeyote anayelala katika nyumba hiyo au kulia chakula ndani yake, lazima ayafue mavazi yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeyote atakayelala au kula ndani ya nyumba hiyo ni lazima afue nguo zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mtu alalaye ndani ya nyumba hiyo atazifua nguo zake, naye alaye chakula ndani ya nyumba hiyo atazifua nguo zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeyote anayelala katika nyumba hiyo au kulia chakula ndani yake, lazima ayafue mavazi yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ye yote atakayelala au kula ndani ya nyumba hiyo ni lazima afue nguo zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeyote atakayelala au kula ndani ya nyumba hiyo ni lazima afue nguo zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mtu alalaye ndani ya nyumba hiyo atazifua nguo zake, naye alaye chakula ndani ya nyumba hiyo atazifua nguo zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeyote anayelala katika nyumba hiyo au kulia chakula ndani yake, lazima ayafue mavazi yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye atakayelala humo nyumbani sharti azifue nguo zake, naye atakayekula humo nyumbani sharti azifue nguo zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mtu alalaye ndani ya nyumba hiyo atazifua nguo zake, naye alaye chakula ndani ya nyumba hiyo atazifua nguo zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeyote anayelala katika nyumba hiyo au kukulia chakula ndani yake, anapaswa kufua nguo zake.