Leviticus 14:49 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ili kuitakasa nyumba hiyo, mwenye nyumba ataleta ndege wawili pamoja na kipande cha mwerezi, sufu nyekundu na tawi la husopo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ili kuitakasa nyumba hiyo, mwenye nyumba ataleta ndege wawili, mti wa mwerezi, kitani nyekundu na hisopo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye atatwaa ndege wawili, na mti wa mwerezi, na sufu nyekundu, na hisopo, kwa kuitakasa hiyo nyumba;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ili kuitakasa nyumba hiyo, mwenye nyumba ataleta ndege wawili pamoja na kipande cha mwerezi, sufu nyekundu na tawi la husopo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ili kuitakasa nyumba hiyo, mwenye nyumba ataleta ndege wawili, mti wa mwerezi, kitani nyekundu na hisopo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ili kuitakasa nyumba hiyo, mwenye nyumba ataleta ndege wawili, mti wa mwerezi, kitani nyekundu na hisopo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye atatwaa ndege wawili, na mti wa mwerezi, na sufu nyekundu, na hisopo, kwa kuitakasa hiyo nyumba;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ili kuitakasa nyumba hiyo, mwenye nyumba ataleta ndege wawili pamoja na kipande cha mwerezi, sufu nyekundu na tawi la husopo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha na achukue ndege wawili na kipande cha mwangati na nyuzi nyekundu na kivumbasi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye atatwaa ndege wawili, na mti wa mwerezi, na sufu nyekundu, na hisopo, kwa kuitakasa hiyo nyumba;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa kutakasa nyumba hiyo, mwenye nyumba ataleta ndege wawili pamoja na kipande cha muti wa mwerezi, sufu nyekundu na tawi la hisopo.