Leviticus 14:51 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atachukua kipande cha mwerezi, tawi la husopo na ile sufu nyekundu pamoja na yule ndege mwingine aliye hai na kuvitumbukiza vyote katika damu ya yule ndege aliyechinjwa. Kisha atainyunyizia nyumba hiyo damu mara saba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha atachukua mti wa mwerezi, hisopo, kitani nyekundu na ndege aliye hai, na kuvitumbukiza ndani ya damu ya ndege aliyechinjwa pamoja na maji safi, na kuinyunyizia nyumba ile mara saba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha atatwaa huo mti wa mwerezi, na hisopo, na sufu nyekundu, pamoja na huyo ndege aliye hai, na kuvichovya vyote katika damu ya huyo ndege aliyechinjwa, na katika hayo maji ya mtoni, na kuinyunyiza nyumba mara saba;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atachukua kipande cha mwerezi, tawi la husopo na ile sufu nyekundu pamoja na yule ndege mwingine aliye hai na kuvitumbukiza vyote katika damu ya yule ndege aliyechinjwa. Kisha atainyunyizia nyumba hiyo damu mara saba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha atachukua mti wa mwerezi, hisopo, kitani nyekundu na ndege aliye hai na kuvitumbukiza ndani ya damu ya ndege aliyechinjwa pamoja na maji safi na kuinyunyizia nyumba ile mara saba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha atachukua mti wa mwerezi, hisopo, kitani nyekundu na ndege aliye hai, na kuvitumbukiza ndani ya damu ya ndege aliyechinjwa pamoja na maji safi, na kuinyunyizia nyumba ile mara saba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha atatwaa huo mti wa mwerezi, na hisopo, na sufu nyekundu, pamoja na huyo ndege aliye hai, na kuvichovya vyote katika damu ya huyo ndege aliyechinjwa, na katika hayo maji ya mtoni, na kuinyunyizia nyumba mara saba;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atachukua kipande cha mwerezi, tawi la husopo na ile sufu nyekundu pamoja na yule ndege mwingine aliye hai na kuvitumbukiza vyote katika damu ya yule ndege aliyechinjwa. Kisha atainyunyizia nyumba hiyo damu mara saba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha na akichukue kile kipande cha mwangati na kile kivumbasi na hizo nyuzi nyekundu pamoja na yule ndege aliye mzima, vyote pamoja avichovye katika damu ya ndege aliyechinjwa, hata katika yale maji ya mtoni, kisha ainyunyizie hiyo nyumba mara saba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha atatwaa huo mti wa mwerezi, na hisopo, na sufu nyekundu, pamoja na huyo ndege aliye hai, na kuvichovya vyote katika damu ya huyo ndege aliyechinjwa, na katika hayo maji ya mtoni, na kuinyunyiza nyumba mara saba;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atatwaa kipande cha mwerezi, tawi la hisopo na ile sufu nyekundu pamoja na yule ndege mwingine anayekuwa muzima na kuvitumbukiza vyote katika damu ya yule ndege aliyechinjwa. Kisha atanyunyizia nyumba hiyo damu mara saba.