Leviticus 14:53 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule ndege hai atamwacha aende zake mashambani nje ya mji. Hivyo ndivyo atakavyoitakasa nyumba hiyo, nayo itakuwa safi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha atamwachia yule ndege aliye hai huru mashambani nje ya mji. Kwa njia hii atafanya upatanisho kwa ajili ya nyumba ile, nayo itakuwa safi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini ndege aliye hai atamwacha atoke mle mjini aende nyikani; ndivyo atakavyofanya upatanisho kwa ajili ya hiyo nyumba; nayo itakuwa safi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule ndege hai atamwacha aende zake mashambani nje ya mji. Hivyo ndivyo atakavyoitakasa nyumba hiyo, nayo itakuwa safi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha atamwachia yule ndege aliye hai huru mashambani nje ya mji. Kwa njia hii atafanya upatanisho kwa ajili ya nyumba ile, nayo itakuwa safi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha atamwachia yule ndege aliye hai huru mashambani nje ya mji. Kwa njia hii atafanya upatanisho kwa ajili ya nyumba ile, nayo itakuwa safi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini ndege aliye hai atamwacha atoke mle mjini aende nyikani; ndivyo atakavyofanya upatanisho kwa ajili ya hiyo nyumba; nayo itakuwa safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule ndege hai atamwacha aende zake mashambani nje ya mji. Hivyo ndivyo atakavyoitakasa nyumba hiyo, nayo itakuwa safi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha na amwachilie yule ndege aliye mzima, ajiendee nje ya mji maporini. Ndivyo, atakavyoipatia hiyo nyumba upozi, ipate kuwa yenye kutakata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini ndege aliye hai atamwacha atoke mle mjini aende nyikani; ndivyo atakavyofanya upatanisho kwa ajili ya hiyo nyumba; nayo itakuwa safi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule ndege anayekuwa muzima atamwacha aende zake katika pori inje ya muji. Hivi ndivyo atakavyotakasa nyumba hiyo, nayo itakuwa safi.