Leviticus 14:54 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hii ndiyo sheria kuhusu aina yoyote ya namna ya upele wa ukoma;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya ndio masharti kuhusu aina yoyote ya ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza, kidonda chochote,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hiyo ndiyo sheria ya pigo la ukoma ya kila aina, na ya kipwepwe;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hii ndiyo sheria kuhusu aina yoyote ya namna ya upele wa ukoma;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya ndiyo masharti kuhusu aina yo yote ya ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza, mwasho wo wote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya ndiyo masharti kuhusu aina yoyote ya ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza, mwasho wowote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hiyo ndiyo sheria ya pigo la ukoma ya kila aina, na ya kipwepwe;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hii ndiyo sheria kuhusu aina yoyote ya namna ya upele wa ukoma;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya ndiyo maonyo ya kufundisha mambo ya kila namna ya ugonjwa huo mbaya wa ukoma na wa upele mbaya,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hiyo ndiyo sheria ya pigo la ukoma ya kila aina, na ya kipwepwe;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hii ndiyo sheria juu ya aina yoyote ya taka la ukoma;