Leviticus 14:56 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
uvimbe, jipu au kipaku,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa uvimbe, upele, au alama nyeupe katika ngozi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kivimbe, na kikoko na kipaku king'aacho;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
uvimbe, jipu au kipaku,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa uvimbe, vipele au kipaku king'aacho,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa uvimbe, vipele au kipaku king’aacho,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kivimbe, na kikoko na kipaku king'aacho;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
uvimbe, jipu au kipaku,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kivimbe, na kikoko na kipaku king’aacho;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kivimba, jipu au chunuku,