Leviticus 14:57 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili kuonesha ni kitu gani kilicho najisi na kisicho najisi. Hiyo ndiyo sheria kuhusu namna ya upele wa ukoma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kupambanua wakati kitu fulani ni safi au najisi. Haya ndio masharti kuhusu magonjwa ya ngozi ya kuambukiza na ukoma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili kufunza itakapokuwa ni unajisi, na itakapokuwa ni safi; hiyo ndiyo sheria ya ukoma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili kuonesha ni kitu gani kilicho najisi na kisicho najisi. Hiyo ndiyo sheria kuhusu namna ya upele wa ukoma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kupambanua wakati kitu fulani ni safi au najisi. Haya ndiyo masharti kuhusu magonjwa ya ngozi ya kuambukiza na upele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kupambanua wakati kitu fulani ni safi au najisi. Haya ndiyo masharti kuhusu magonjwa ya ngozi ya kuambukiza na upele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili kufunza itakapokuwa ni unajisi, na itakapokuwa ni safi; hiyo ndiyo sheria ya ukoma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili kuonesha ni kitu gani kilicho najisi na kisicho najisi. Hiyo ndiyo sheria kuhusu namna ya upele wa ukoma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili kufunza itakapokuwa ni unajisi, na itakapokuwa ni safi; hiyo ndiyo sheria ya ukoma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa kuonyesha ni kitu gani kinachokuwa kichafu na kisichokuwa kichafu. Hiyo ndiyo sheria juu ya taka la ukoma.