Leviticus 15:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chombo chochote cha udongo kilichoguswa na mtu anayetokwa na usaha ni lazima kivunjwe. Lakini chombo chochote cha mbao ni lazima kisafishwe kwa maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Chungu cha udongo kitakachoguswa na mtu huyo ni lazima kivunjwe, na kifaa chochote cha mbao kitaoshwa kwa maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na chombo cha udongo ambacho amekigusa mwenye kisonono, kitavunjwa-vunjwa; na kila chombo cha mti kitaoshwa majini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chombo chochote cha udongo kilichoguswa na mtu anayetokwa na usaha ni lazima kivunjwe. Lakini chombo chochote cha mbao ni lazima kisafishwe kwa maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Chungu cha udongo kitakachoguswa na mtu huyo ni lazima kivunjwe, na kifaa cho chote cha mbao kitaoshwa kwa maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Chungu cha udongo kitakachoguswa na mtu huyo ni lazima kivunjwe, na kifaa chochote cha mbao kitaoshwa kwa maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na chombo cha udongo ambacho amekigusa mwenye kisonono, kitavunjwavunjwa; na kila chombo cha mti kitaoshwa majini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chombo chochote cha udongo kilichoguswa na mtu anayetokwa na usaha ni lazima kivunjwe. Lakini chombo chochote cha mbao ni lazima kisafishwe kwa maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nacho chombo cha udongo, mwenye kisonono atakachokigusa, sharti kivunjwe, nacho kila chombo cha mti sharti kioshwe majini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na chombo cha udongo ambacho amekigusa mwenye kisonono, kitavunjwa-vunjwa; na kila chombo cha mti kitaoshwa majini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Chombo chochote cha udongo kilichoguswa na mutu anayetokwa na usaha kinapaswa kuvunjwa. Lakini chombo chochote cha mbao kitasafishwa kwa maji.