Leviticus 15:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mwanamume yeyote anayetokwa na usaha akiponywa ugonjwa wake, ni lazima huyo mtu angoje siku saba kabla ya kuondolewa unajisi wake. Atayafua mavazi yake na kuoga kwa maji ya mtoni; naye atakuwa safi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Mtu atakapotakasika kutoka usaha wake, atahesabu siku saba kwa utakaso wake. Ni lazima afue nguo zake na aoge kwa maji safi, naye atatakasika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na huyo aliye na kisonono atakapotakaswa na kisonono chake, atajihesabia siku saba kwa kutakaswa kwake, naye atazifua nguo zake; naye ataoga mwili wake katika maji ya mtoni, naye atakuwa safi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mwanamume yeyote anayetokwa na usaha akiponywa ugonjwa wake, ni lazima huyo mtu angoje siku saba kabla ya kuondolewa unajisi wake. Atayafua mavazi yake na kuoga kwa maji ya mtoni; naye atakuwa safi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Wakati mtu atakapotakasika kutokwa usaha kwake, anapaswa kuhesabu siku saba za kawaida ya ibada ya utakaso; ni lazima afue nguo zake na aoge kwa maji safi, naye atatakasika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Wakati mtu atakapotakasika kutoka usaha wake, anapaswa kuhesabu siku saba kwa utakaso wake. Ni lazima afue nguo zake na aoge kwa maji safi, naye atatakasika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na huyo aliye na kisonono atakapotakaswa na kisonono chake, atajihesabia siku saba kwa kutakaswa kwake, naye atazifua nguo zake; naye ataoga mwili wake katika maji ya mtoni, naye atakuwa safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mwanamume yeyote anayetokwa na usaha akiponywa ugonjwa wake, ni lazima huyo mtu angoje siku saba kabla ya kuondolewa unajisi wake. Atayafua mavazi yake na kuoga kwa maji ya mtoni; naye atakuwa safi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mwenye kisonono akipata kutakata, kwa kuwa kisonono chake kimekoma, sharti ahesabu siku saba kuanzia hapo, alipopata kutakata, kisha sharti azifue nguo zake pamoja na koga katika maji ya mtoni; ndipo, atakapokuwa mwenye kutakata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na huyo aliye na kisonono atakapotakaswa na kisonono chake, atajihesabia siku saba kwa kutakaswa kwake, naye atazifua nguo zake; naye ataoga mwili wake katika maji ya mtoni, naye atakuwa safi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwanaume yeyote anayetokwa na usaha akiponywa ugonjwa wake, mutu yule anapaswa kungoja siku saba mbele ya kuondolewa uchafu wake. Atafua nguo zake na kuoga kwa maji ya muto, naye atakuwa safi.