Leviticus 15:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ya nane, ni lazima alete hua wawili au makinda mawili ya njiwa mbele ya Mwenyezi-Mungu mlangoni mwa hema la mkutano na kumkabidhi kuhani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ya nane, atachukua hua wawili au makinda wawili wa njiwa, aje mbele za Mwenyezi Mungu kwenye ingilio la Hema la Kukutania, na kumpa kuhani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na siku ya nane atajipatia hua wawili, au makinda mawili ya njiwa, naye atakwenda mbele za Bwana mlangoni pa hema ya kukutania, naye atampa kuhani hao ndege;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ya nane, ni lazima alete hua wawili au makinda mawili ya njiwa mbele ya Mwenyezi-Mungu mlangoni mwa hema la mkutano na kumkabidhi kuhani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ya nane, atachukua hua wawili au makinda mawili ya njiwa, aje mbele za BWANA kwenye ingilio la Hema la Kukutania na kumpa kuhani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ya nane, atachukua hua wawili au makinda mawili ya njiwa, aje mbele za bwana kwenye ingilio la Hema la Kukutania, na kumpa kuhani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na siku ya nane atajipatia hua wawili, au makinda mawili ya njiwa, naye atakwenda mbele za BWANA mlangoni pa hema ya kukutania, naye atampa kuhani hao ndege;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ya nane, ni lazima alete hua wawili au makinda mawili ya njiwa mbele ya Mwenyezi-Mungu mlangoni mwa hema la mkutano na kumkabidhi kuhani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya nane na achukue hua wawili au makinda mawili ya njiwa manga, amtokee Bwana hapo pa kuliingilia Hema la Mkutano, ndipo ampe mtambikaji wale ndege.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na siku ya nane atajipatia hua wawili, au makinda mawili ya njiwa, naye atakwenda mbele za BWANA mlangoni pa hema ya kukutania, naye atampa kuhani hao ndege;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ya nane, anapaswa kuleta hua wawili au vitoto viwili vya njiwa mbele ya Yawe kwenye mulango wa hema la mukutano na kumupatia kuhani.