Leviticus 15:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vazi lolote lililodondokewa shahawa au ngozi yoyote iliyoguswa na shahawa hiyo ni lazima ioshwe kwa maji, na itakuwa najisi mpaka jioni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vazi lolote ama ngozi yoyote yenye shahawa juu yake ni lazima ioshwe kwa maji, na itakuwa najisi hadi jioni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kila nguo, na kila ngozi, ambayo ina shahawa, itafuliwa kwa maji, nayo itakuwa najisi hata jioni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vazi lolote lililodondokewa shahawa au ngozi yoyote iliyoguswa na shahawa hiyo ni lazima ioshwe kwa maji, na itakuwa najisi mpaka jioni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vazi lo lote ama ngozi yenye shahawa juu yake ni lazima ioshwe kwa maji, na itakuwa najisi mpaka jioni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vazi lolote ama ngozi yoyote yenye shahawa juu yake ni lazima ioshwe kwa maji, na itakuwa najisi mpaka jioni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kila nguo au ngozi, ambayo ina shahawa, itafuliwa kwa maji, nayo itakuwa najisi hata jioni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vazi lolote lililodondokewa shahawa au ngozi yoyote iliyoguswa na shahawa hiyo ni lazima ioshwe kwa maji, na itakuwa najisi mpaka jioni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo nguo zote na ngozi zote zilizonyewa na hizo mbegu sharti zifuliwe majini, nazo zitakuwa zenye uchafu mpaka jioni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kila nguo, na kila ngozi, ambayo ina shahawa, itafuliwa kwa maji, nayo itakuwa najisi hata jioni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nguo yoyote iliyodondokewa mbegu za uzazi au ngozi yoyote iliyoguswa na mbegu zile inapaswa kusafishwa kwa maji na itakuwa chafu mpaka magaribi.